Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI
Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akiweka sahihi alipotembelea banda la Shirika la
Maendeleo ya Petroli Tanzania katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane)
eneo la Ngongo, Mkoani Lindi.
Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI
Mhe. Hawa Ghasia (MB) (kulia), akipokea zawadi kutoka Meneja wa Mawasiliano
TPDC, Bi. Marie Msellemu (kushoto) alipotembelea banda la Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC) katika Wiki ya Maonesho ya Wakulima (Nanenane).
Mhandisi wa Petroli, Yusufu Risasi,
(kulia) akitoa maelezo ya kitalaam kwa watu waliotembelea banda la Shirika la
Maendeleo Petroli Tanzania kujionea shughuli zinazo fanywa na Shirika la TPDC
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...