Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa kituo cha
kufundishia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua Bibi Meagan
Garnahan wakati aliposawasili katika uzinduzi wa kituo hicho katika
kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akipata maelezo kutoka kwa
Bw.Abdul Barwan Abdalla kuhusu ufugaji wa nyuki kwa kutumia mizinga ya
kisasa wakati alipotembelea maonesho ya kazi mbali mbali za ujasiria
mali kabla ya kukifungua kituo cha kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa
vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali mbali za ujasiriamali katika kijiji
cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Kazija Gharib
Issa akiwa ni miongozi mwa wanawake waliopata mafunzo ya kutengeza vifaa
ya kutumia umeme wa jua nchini India wakati alipotembelea maonesho ya
kazi mbali mbali za ujasiria mali kabla ya kukifungua kituo cha
kuwafunzia Wanawake utengenezaji wa vifa vya Umeme wa jua na kazi mbali
mbali za ujasiriamali katika kijiji cha Kibokwa Wilaya ya kaskazini A
Unguja leo (katikati) Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Vijana
Wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohamed. [Picha na Ikulu.]
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...