Kaimu
Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy (kushoto),
akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya chama
hicho, Ilala Dar es Salaam jana, wakati akitangaza majimbo yaliyochini
ya vyama vinavyounda Ukawa ambayo vyama hivyo vitasimamisha wagombea wao
katika uchaguzi mkuu. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD,
Masudi Makunjunga.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Shaweji Mketo (wa pili kulia),
akizungumza katika mkutano huo na waandishi wa habari. Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Masudi Makunjunga, Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Nderakindo Kessy na Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika.
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, akizungumza katika mkutano huo.
Viongozi wa vyama hivyo wakiwa meza kuu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...