Rais wa shirikisho la mpira
wa miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)na
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa(kulia)wakielekezwa
na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu jinsi ya kusaini mkataba
wa makubaliano ya udhamini wa ligi Kuu ya
Vodacom Tanzania bara kwa msimu
wa 2015/16.
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)pamoja
na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin
Twissa(katikati)wakisaini mkataba mpya wa miaka(3) kwa Vodacom Tanzania
kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara 2015/16. Anayeshuhudia kulia ni Ofisa
Mkuu mtendaji wa ligi Boniface Wambura
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom
Tanzania,Kelvin Twissa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani) kuhusiana na mkataba mpya wa miaka(3) wa udhamini wa ligi kuu ya
Vodacom Tanzania bara uliosainiwa baina ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania(TFF)na kampuni hiyo,kushoto ni
Rais wa shirikisho la mpira wa miguu
Tanzania(TFF) Jamali Malinzi pamoja na Ofisa Mkuu mtendaji wa ligi Boniface
Wambura(
Rais wa shirikisho la mpira
wa miguu Tanzania(TFF) Jamali
Malinzi(kulia)akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla fupi ya kusaini
mkataba mpya wa miaka(3) wa kudhamini ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa msimu wa 2015/16.Katikati ni Mkuu wa
Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo Kelvin Twissa na kushoto ni Ofisa Mkuu
mtendaji wa ligi Boniface Wambura.
Rais wa shirikisho la mpira
wa miguu Tanzania(TFF) Jamali Malinzi(kushoto)
na Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania,Kelvin
Twissa(kulia)wakibadilishana nyaraka za mkataba wa makubaliano ya kampuni hiyo
kuendelea kuwa mdhamini mkuu wa ligi kuu
ya Vodacom Tanzania bara 2015/16 kwa miaka(3) anayeshuhudia
katikati ni Ofisa Mkuu mtendaji wa ligi Boniface Wambura.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...