Mwenyekiti
wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania (FEMATA), Gregory Kibusi
akiwasilisha mada kuhusu wachimbaji wadogo wa madini katika Semina ya Wathamini
Madini ya Vito na Almasi nchini, iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015)
katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimaliwatu, Mrimia Mchomvu, akitoa hotuba ya kufunga Semina
ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini iliyofanyika hivi karibuni (Agosti
12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza.
Baadhi
ya washiriki wa Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini,
wakifuatilia kwa umakini mada zilizokuwa zikiwasilishwa. Semina hiyo ilifanyika
hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest jijini
Mwanza.
Mkurugenzi
wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito cha Wizara ya Nishati
na Madini (TANSORT), Archard Kalugendo, akiwasilisha mada kuhusu majukumu ya
Kitengo hicho katika Semina ya Wathamini Madini ya Vito na Almasi nchini
iliyofanyika hivi karibuni (Agosti 12 na 13, 2015) katika Hoteli ya Gold Crest
jijini Mwanza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...