Mkurungezi wa Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini
(TCRA, Dk.Ally Simba akizungumza na waandishi wa habari juu ya semina ya
kuwapiga brashi wa wasanii wa bongo Movie leo jijini Dar Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Mkuu wa Kitengo cha Watumiaji wa Huduma
za Bidhaa za Mawasiliano wa TCRA,Thadeo Ringo akizungumza na baadhi na wasanii
waliohudhuria semina hiyo hawapo pichani iliyoyofanyika leo jijini Dar es
Salaam.
Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu,Kitengo cha Kuzuia Uhalifu
,Kamisheni ya Polisi Jamii,David Mwakalukwa akizungumza na wasaanii juu ya
matumizi ya mitandao ya kijamii katika semina ya wasanii iliyofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Msanii Mkongwe wa Filam nchini,Ahmed Olotu ‘Mzee Chilo’
akichangia maada katika semina ya kuwanoa wasanii juu ya matumizi ya mitandao
katika semina iliyoandaliwa na TCRA leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wasanii walioshiriki semina iliyoandaliwa na
TCRA ,leo jijini Dar es Salaam.
(picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...