Waziri Mkuu Mizengo Pinda na ujumbe wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Uganda Dr Ruhakana Rugunda pamoja na viongozi wa serekalini Uganda.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiongea jambo na Waziri Mkuu wa
Uganda Dr Ruhakana Rugunda alipo mtembelea ofisini kwake kushoto ni Kaimu wa
Itafaki Tanznia Bw. Jemes Bwana, Waziri
Mkuu yupo Nchini Uganda kumuwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika sherehe za
Skauti kutimiza mika miamoja nchini Uganda.
Picha na Chris Mfinanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...