Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akiwa
ziarani mkoani Mbeya, akizungumza na watendaji wa Mkoa, wa Halmashauri ya jiji,
baada ya kuwawajibisha watendaji wawili wa Halmashauri kwa kuwasimamisha kazi
na kuwakabidhi kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU), kwa
tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume na sheria.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akisisitiza
jambo, wakati alipokuwa anatoa maelekezo kwa viongozi wa jiji na Wananchi wa
eneo la Sisitira, Lwambi – Mbeya alipokuwa ziarani mkoani humo, Mhe. Lukuvi pia
aliwawajibisha watendaji wawili wa Halmashauri kwa kuwasimamisha kazi na
kuwakabidhi kwa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa
tuhuma za kujimilikisha viwanja 25 kinyume na sheria.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akikagua
mafaili katika masijala ya Idara ya ardhi, halmashauri ya jiji la Mbeya alipokuwa
ziarani mkoani humo, Mhe. Lukuvi pia aliwawajibisha watendaji wawili wa
Halmashauri kwa kuwasimamisha kazi na kuwakabidhi kwa taasisi ya kuzuia na
kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kujimilikisha viwanja 25
kinyume na sheria.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb), akitoa
maelekezo kwa viongozi wa jiji na Wananchi wa eneo la Sisitira, Lwambi – Mbeya,
alipokuwa ziarani mkoani humo, Mhe. Lukuvi pia aliwawajibisha watendaji wawili wa
Halmashauri kwa kuwasimamisha kazi na kuwakabidhi kwa taasisi ya kuzuia na
kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa tuhuma za kujimilikisha viwanja 25
kinyume na sheria.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...