Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani kwa kulishukuru shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) kwa kutoa msaada wa Dawa za kutakasa maji (Water Guard ) leo jiji Dar es Salaam kulia ni Mwakilishi wa shirika la Afya Ulimwenguni hapa Nchini Dk Rufaro Chatora.
Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam
Mwakilishi wa shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) hapa Nchini Dk Rufaro Chatora akimkabidhi msaada huo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk Donan Mmbando leo jiji Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk
Donan Mmbando akimkabidhi Mgaga Mkuu wa
Serikali, Dk.Grace Magembe msada huo ulio
tolewa na shirika la Afya Ulimwenguni leo jijini Dar es Salaam
( Picha na
Emmanuel Massaka)
kutakatisha maji
ReplyDelete