Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) wa kwanza kushoto
mstari wa mbele Bw. Bahatisha Selemani Mkala akipokea
Cheti cha Usajili wa Chama hicho kutoka kwa Afisa usajili Bw. Hashim Mwanga wakati
wa. makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za msajili zilizopo Wizara ya Mambo
ya Ndani ya nchi.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).
Mwenyekiti wa Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) aliyeshika cheti
cha usajili Bw. Bahatisha Selemani Mkala
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya madereva ambao ni wanachama wa chama hicho mara baada
ya kukabidhiwa cheti hicho katika Ofisi za Msajili zilizopo Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi,hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).
(Picha na Benjamin Sawe)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...