Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia wakazi wa Chato na
vitongoji vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni
uliofanyika uwanja wa shule
ya sekondari Chato mkoani Geita.
Wakazi wa Chato na Vitongoji vyake wakifuatilia na kusikiliza sera za
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi na
kuomba ridhaa mbele yao jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari chato mkoani Geita.
Wakazi
wa Chato wakishangilia kuonesha kuwa watampa kura za ushindi Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika
Oktoba 25 mwaka huu,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika
katika shule
ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Chato na
vitongoji vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni
uliofanyika katika uwanja wa shule
ya sekondari Chato mkoani Geita.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akimnadi Mgombea Ubunge wa jimbo
la Chato,Dkt Meedad Kalemani mbele ya wakazi wa Chato waliojitokeza kwa
wingi kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa
shule
ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.
Mke wa Mgombea Urais wa CCM,Mama Janeth John Magufuli akiwasalimia
wananchi wa Chato na kuwaomba ridhaa ya kumchagua Dkt
John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
awamu ya tano,kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25
mwaka huu.
Wakazi wa Chato ilikuwa ni shangwe tu kila kona ya uwanja.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Geita ,Joseph Kasheku almaarufu King Msukuma akiwaomba
ridhaa wananchi wa Chato ya kumchagua Mgombea Urais wa chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli ili aweze kuwa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania katika awamu ya tano.
Wakazi wa Chato wakishangilia kwa shangwe kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika shule
ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha
Mapinduzi (CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Chato na
vitongoji vyake jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni
uliofanyika katika shule
ya sekondari Chato mkoani Geita.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM),Dkt John Pombe Magufuli akiwaaga wakazi wa Chato mara baada ya
kumaliza mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa shule ya sekondari Chato,jioni ya leo mkoani Geita.
Magufuli for Change!
ReplyDeletePlease go to mangekimambi instagram, there is a shocking news about what happened to one of the contender
ReplyDelete