Mgombea ubunge jimbo la Moshi Mjini kwa tiketi ya CCM Ndg. Davis Mosha akielekea katika uwanja wa mkutano kata ya Soweto akiwa na walinzi wanamama. Mgombea huyu kijana na mfanyabiashara maarufu anaendelea kuchanja mbuga katika jimbo hilo na wadadisi wa mambo wanasema nyota yake ni kali sana kiasi cha kumtabiria ushindi wa kishindo. Wanasema dogo anatisha.
Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza Ndg. Davis Mosha akijinadi na kumwaga sera za CCM mbele ya umati mkubwa wa watu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...