Aliyekuwa Diwani wa NCCR- Mageuzi na mjumbe wa Halmashauri, Yusuf Nyamgenda ajiunga na CCM leo katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma.
 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM),Dk John Pombe Magufuli akihutubia leo asubuhi katika mkutano wa hadhara wa kampeni kwenye viwanja vya Shule ya msingi Nguruka Mkoani Kigoma.
 Wananchi waliokusanyika kumsikiliza  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Pombe Magufuli wakati akinadi sera zake na za Chama Cha  Mapinduzi Mkoani Kigoma.

Kwa picha zaidi tanzama baadae

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tumesikia sera na hoja za maendeleo CCM endelea kumwaga sera.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...