Na Yusef israel
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kutuweza kutufikisha hapa toka tupate uhuru na toka nchi zetu mbili hizi zilizoweza kuungana na kuzaliwa taifa moja la jamhuri ya muungano watu wa Tanzania,ni mambo mengi tumeshuudia mazuri na mabaya natunapakaa na kuangalia nyuma tunaona kweli kuna mazuri tumefanikiwa na kuna mambo ambayo tumeshindwa kuyatimiza au kuyatenda kwa sababu zetu wenyewe au makosa yetu wenyewe au sababu ya kutokuwa na uwezo wa kifedha.
Tanzania ya leo ina wananchi waliozaliwa wakati nchi ikiwa inaitwa Tanganyika na ikiwa haijapata uhuru na watanzania wa baada ya uhuru na Wa Tanzania wa waliozaliwa nchi ikiwa inaitwa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Je, wakati nchi hizi zilizokuwa zinaungana Wazee wetu walifikiria nini au nini kilichowafanya wazee wetu hawa waamue nchi izi mbili ziungane utakuta kuna mambo mengi yanayosemwa ,wengine ni kwa ajiri ya ulinzi wa visiwa hivyo visije vikachukuliwa tena na sultan wa oman wengine hiyo ni siri ya Mwalimu na Mzee Karume kuna mambo mengi sana na baadhi ya viongozi wa siasa waliosomeshwa na serikali zilizokuwa zikiongozwa na wazee leo wamewaita majina mengi tu ya ajabu na kuwadharau.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...