Na  Bashir  Yakub

Kisheria  yapo  mambo  mengi  ambayo  huweza  kubatilisha  mkataba  wa  ajira  kati  ya  mwajiri  na  mwajiriwa. Mkataba  wa  ajira  sawa  na  mikataba  mingine  yote huzaliwa,  huishi  na  hufa. Huzaliwa  pale  tu  unaposainiwa ,  huishi  pale  unapoanza  kutekelezwa  na  hufa   pale  yanapojitokeza  baadhi  ya  mambo  ambayo  yameainishwa  na  sheria  kama  mambo  yanayoua mkataba  wa  ajira. 
Aidha zipo  taratibu  maalum  za  kumaliza/kuua  mkataba  wa  ajira  na  hii  ni  katika  mazingira  yote,  yaani mazingira  ya kumaliza  mkataba  kwa  hiari  na yale  ya kumaliza  kwa  kulazimika  kutokana  na  sababu  mbalimbali. 
Kumaliza  mkataba  wa  ajira  kwa  hiari  kumekuwa  hakuleti  shida  sana  kama  ilivyo  kumaliza  mkataba  wa  ajira  kwa kulazimika hasa  linapokuja suala la sababu   za  kinidhamu  kama  tutakavyoona. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...