Balozi wa
Tanzania nchini Marekani, Mheshimiwa Wilson Masilingi akimkabidhi Rais Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika
Mashariki Waishio Marekani na nchi nyingine (East African Diaspora Business
Council Award) Jumatatu, Septemba 21, 2015 mjini Washington, D.C. Balozi
Masilingi ndiye alimwakilisha Dkt. Kikwete katika sherehe ya kukabidhi tuzo
hiyo usiku wa Jumapili, Septemba 20 kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, Dallas,
Jimbo la Texas. Picha na Freddy Maro.
Home
Unlabelled
JK apokea Tuzo ya Utawala Bora ya Baraza la Biashara la Wana-Afrika Mashariki Waishio Marekani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...