Mkuu
wa kambi ya JKT Burombola Luteni Kanali Mketo akizungumza katika
sherehe ya kufunga mafunzo ya mujibu wa sheria kwa vijana waliomaliza
kidato cha sita mafunzo yaliyofanyika kwenye kambi ya Burombola wilaya
ya Uvinza mkoani Kigoma.

Baadhi ya vijana waliomaliza mafunzi ya JKT kwenye kambi ya Burombola wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma
picha na editha Karlo
Na Editha Karlo,Kigoma
MKUU wa Jeshi la kujenga Taifa Meja Jenerali Raphael Muhuga alisema kuwa jeshi hilo litaendelea kuboresha changamoto mbalimbali zinazojitokeza ili kuwezesha vijana wote wanaomaliza masomo ya kidato cha sita kujiunga na mafunzo hayo kwa wakati mmoja.
Muhuga alisema hayo kwenye kambi ya JKT Burombola kikosi cha 821 katika sherehe za kumaliza mafunzo kwa vijana wa mujibu wa Taifa kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita katika mafunzo yaliyojulikana kama Operesheni Kikwete.

Nchi inahitaji vijana wakakamavu wenye uzalendo wa kuipenda nchi yao.
ReplyDelete