Mheshimiwa
Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula (kati), Mheshimiwa Salum Maulid
,Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi Zanzibar (kulia) wakiwa kwenye picha ya
pamoja na Balozi wa Tanzania, Uingereza, Mhe. Peter Kallaghe na mama
Joyce Kallaghe, kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Watanzania, unaoendelea
hivi sasa Birmingham, Uingereza.
Mheshimiwa
Katibu Mkuu, Balozi Liberata Mulamula akimpongeza mwanahabari masahuhuri Bwana Ayoub Mzee mara
baada ya kufungua rasmi huduma ya Television (Mobile application -
Apps). Bwana Ayoub ni mwakilishi wa AITV Application hapa nchini
Uingereza.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...