Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. "Haijali kama ni wazawa au ni wageni wote ni wamoja" how sweet! Mwalimu JKN pumzkia kwa amani na asante kwa yote! tuombee huko uliko, Maulana atuongoze ili Tanzania tupate Raisi mpywa mwenye upendo wa dhati wa nchi yake! Tanzania, Dr John Pombe Maguguli.

    Dr Gangwe Bitozi.

    ReplyDelete
  2. Sio lazima Dk. Magufuli huko itakuwa kuingilia maamuzi ya Maulana.
    Sema tupate rais mwema

    ReplyDelete
  3. kizungu na hotuba yenyewe vimenyooka hatari na ni mwaka 1963 hukooooo; jamaa aliumbwa kuwa kiongozi

    ReplyDelete
  4. Thank you mwl Nyerere for everything you did for our great nation, Rest in peace the favourate son of Tanzania and the whole of Africa.

    ReplyDelete
  5. Kabisa yule mzee alikuwa smart hasa . Sio mtu wa kum,beza hata kidogo. He was a very selfishless leader Africa ever seen kwa sababu baada ya Tanzania kupata uhuru wake hakusita kuzisaidia kwa hali na mali nchi za kiafrika ambazo zilikuwa chini ya utawala wa kikoloni . Msikilize vizuri mzee anasema kuwa safari zake za kutafuta uhuru wa nchi yake kwa ya amani kwenda na kurudi united nation hazihisabiki kwa hivyo utaona amani katika nchi yetu haikuja hivihivi tu bali imetafutwa na inaasili yake tofauti na baadhi ya maneno ya kejeli ya baadhi ya wapuuzi wanao beza amani tulionao nchini. Kwa kweli mzee katuachia nchi yetu ikiwa na misingi imara ya kisiasa kazi ni kuiboresha lakini ikotokezea kujotoa fahamu na kuanza kutoka nje ya misingi hiyo na kuingia katika machafuko basi tutakuwa hakuna wa kumlaumu isipokuwa sisi wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...