Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM
Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa
Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama
Mjini leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea
huyo. Katika hotuba yake, Mgombea huyo amesema iwapo atafanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, ataunda Serikali itakayochangamkia Maendeleo yatakayowanufaisha Watanzania wote kwa Ujumla.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokelewa na Mwenyeji wake, Mgombea
Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, wakati akiwasili
kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14,
2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni wa hadhara
wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama
Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea
Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, akihutubia Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14,
2015.
Sehemu
ya Umati wa wananchi wa Mji wa Kahama, wakiwa wamefurika kwenye Uwanja
wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA AU BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...