Mwigizaji mchekeshaji nyota King Majuto akiwa na mchezaji wa zamani wa Taifa Stars na Yanga Sunday Manara 'Computer' wakiwa mjini Makka wakati wa Hijja. Hawa ni miongoni mwa Watanzania walionusurika katika maafa ya msongamano wa watu Mina juzi uliochukua maisha ya mahujaji zaidi ya 700 kutoka kila pembe ya dunia.
Home
Unlabelled
Ma-Alhaj King Majuto na Sunday Manara Computer wakutana Makka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiun. Mwenyeez Mungu awarahamu - Yaa Arhama R'rahimina. Awaghufirie kwa yote na awapumzishe katika kivuli chake na kuwaingiza katika yake Firdaus yaumul hisabu. Wao wametangulia nasi sote umauti ndio khatma yetu. Natuwe pole sote dunia nzima, tulioondokewa na ndugu, jamaa, marafiki, wapendwa wetu na pia waislam wenzetu kwa jumla . Mwenyez Mungu atujaaliye na kutupa moyo wa subira na faraja, khususan katika kipindi hiki kigumu cha maafa ya mfululizo yaliyotokea huko ktaika mji mtukufu wa Makka. Mwenyeez Mungu walaze pema peponi waliotangulia na uwarejeshe salama Mahujaji wote - AMEEN.
ReplyDelete