Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akipanda ngazi kwa
kukimbia kwenda jukwaani kujinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni
kwenye Uwanja wa Taifa mjini Kibondo, Kigoma
Wananchi wa Kasulua wakifuatilia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma,ambapo Mgombea Urais wa CCM Dk Magufuli aliwahutubia.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Joseph Magufuli akiwahutubia wananchi wa Kibondo ndani ya uwanja wa Taifa mkoani Kigoma jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Taifa, Kibondo, Kigoma.Akihutubia kwa nyakati tofauti, katika mikutano ya kampeni zake mkoani Kigoma, amekuwa akihimiza kudumisha amani nchini ambapo pia aliwataka viongozi wa kisiasa kuhubili suala hilo katika mikutano yao.
Dk Magufuli akiwanadi Daniel Nsanzugwako (kulia) anayegombea ubunge kupitia CCM katika Jimbo la Kasulu Mjini na Agustino Zuma Ole anayewania ubunge jimbo la Kasulu Kusini kupitia chama hicho
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma
Wananchi wa Kasulu wakimshangilia Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli alipokuwa akijinadi na kuomba ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Umoja Kasulu, Kigoma.

PICHA NA MICHUZI JR-KIBONDO-KIGOMA
CCM ni chama chenye wawakilishi kila sehemu ya nchi. Viongozi endelea kutoa sera na mipango ya maendeleo, tunaskiliza.
ReplyDelete