Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na ndugu wa Marehemu Cornel Pastory,alipowasili kwenye kijiji cha Nyakantutu,wilayani Biharamulo.Dkt Magufuli amemaliza mikutano yake ya kampeni mkoani Kigoma na kuelekea nyumbani kwake wilayani Chato kwa mapumziko ya siku mbili, ambapo siku ya Jumapili atawahutubia Wananchi mjini humo na kisha kuanza ziara yake mkoani Kagera.
 Marehemu Cornel Pastory enzi za uhai wake
  Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza shule ya Msingi Chato, marehemu, Cornel Pastory. 
  Dk Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
  Dk Magufuli akiomba alipozuru kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory wilayani Biharamulo, Kagera.
 Wananchi wa Biharamulo wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini humo.
 Wakazi wa Biharamulo wakishangilia mara baada ya kusikiliza sera za Dkt Magufuli mapema leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa CCM mjini humo .


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. That is very honorable and a good shoot out to all the teachers

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...