Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi alipowasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika jana, Septemba 15, katika eneola Nyangao, jimbola Mtama mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Sukuhu Hassan akijadili jambo na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Mtama, Katiu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, wakati wa mkutani wa Kampeni uliofanyika jana Septemba 15, 2015 katika eneo la Nyangao, jimoni humo mkoani Lindi.
Baadhi ya waliooomba ridhaa ya CCM kugombea Ubunge jimbo la Mtama pamoja na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi Nape Nnauye (wapili kushoto), wakiwa na Nape jukwaani kuhibitisha kufuta makundi yao na kuwa timu moja ya kusaka ushindi wa CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Nyangao jimboni humo mkoani Lindi leo. anayezungumza ni Janeth Mayanja na wengine kutoka kulia ni Ismail Mbani na Maliki Maliki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...