Kiongozi wa msafara wa wanamazingira waliotembea kwa miguu wakiokota taka za plastiki pembezoni mwa barabara kutoka Moshi mkoani Kilimanjaro na kuja jijini Dar es Salaam, Felix Garbe (kushoto) akimkabidhi ufagio Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Ubungo Kibo Dar es Salaam, Sophia Yusuf ikiwa ni ishara ya kuhamasisha wakazi wa Dar es salaam kuchukua jukumu la kutunza mazingira. Tukio hilo lilifanyika baada ya wanamazingira hao kuwasili jijini Dar es Salaam baada ya safari iliyowachukua muda wa wiki tano kumalizika.
 (Picha: Hisani ya Nipe Fagio)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mpaka mzungu atuambie taka ni noma ndo tusafishe. Na bado mengine yasiyo wazi.

    ReplyDelete
  2. Anonymous wa September 08, 2015, umenena!

    Yafaa tujitolee lau kwa saa sita tu kila juma kufanya usafi wa miji yetu. Miji ni yetu; tunaishi humo. Tujitokeze kwa wingi, bila hata kuwepo na Mmzungu ndipo tuonekane!

    ReplyDelete
  3. Wanazjngua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...