Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) wakiwa katika mkutano na mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu jana katika Ukumbi wa NEC ofisi za makao Makuu ya CCM Dodoma. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo. Mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu akizungumza na akinamama wanachama wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) na kuwaomba kushirikiana na kuhakikisha wanashinda na kupata heshima hiyo.
Home
Unlabelled
MGOMBEA MWENZA URAIS CCM AZUNGUMZA NA WANACHAMA UWT DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...