Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya kwa tiketi ya CCM Mjini Sambwee Shitambala akishangiliwa na baadhi ya WanaCCM Kata ya Maanga Jijini Mbeya alipokuwa katika
kampeni zake za kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la
Mbeya Mjini.
Meneja kampeni wa Mgombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Kupitia
Chama Cha Mapinduzi ndugu Charles Mwakipesile akizungumza jambo
katika mkutano wa adhara wa kampeni Ulio fanyika katika Kata ya Maanga
Jijini Mbeya.
Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mh.Sambwee
Shitambala akizungumza na Wananchi wa kata ya Maanga Jijini Mbeya,
katika mkutano wa adhara wa kampeni ya kumba kuchaguliwa kuwa Mbunge
wa Jimbo la Mbeya Mjini kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi
Ccm.
WanaCCM na Wananchi wa Kata ya Maanga wakipunga mikono.
Picha Zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo Mbeya.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...