Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC (DAIADAIA) Mhe Rashid Hamad akihutubia umati wakati akizindua rasmi kampeni za chama hicho katika kiwanja cha Gombani ya Kale Kisiwani Pemba na kunadi sera zake
Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC (DAIADAIA) Mhe Rashid Hamad akihutubia umati wakati akizindua rasmi kampeni za chama hicho katika kiwanja cha Gombani ya Kale Kisiwani Pemba na kunadi sera zake
Sehemu ya umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC (DAIADAIA) Mhe Rashid Hamad
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...