Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi
katika mkutano wa kampeni za CCM uliofanyika leo katika uwanja wa Black
wizard Chokocho jimbo la uchaguzi la Mkoani Wilaya ya Mkoani
Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa
kipindi cha pili Dk.Ali Mohamed Shein akiwatambulisha wagombea Udiwani
wa Majimbo ya Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo katika mkutano
wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa mpira Black
wizard Chokocho.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar akiwa Mgombea wa Urais wa kupitia CCM kwa kipindi cha
pili Dk.Ali Mohamed Shein akimtambulisha mgombea Uwakilishi Mohamed
Ijaza Jecha Jimbo la Mtambile Wilaya ya Mkoani Mkoa wa kusini Pemba leo
katika mkutano wa kampeni za Uchaguzi zilizofanyika katika uwanja wa
mpira Black wizard Chokocho.
CCM juu juu juu zaidi.
ReplyDelete