Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla alipopita kusalimia katika Ofisi za MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo, mara baada ya kutoka kuapishwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Watatu kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amosi Makalla akiwa katika picha ya pamoja na Timu ya MICHUZI MEDIA GROUP jijini Dar es Salaam leo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...