Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wan ne kutoka kushoto), akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa kitaifa mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu katika viwanja vya Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA), Mkoani Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego (wa kwanza kushoto), akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Navigation kutoka Jeshi la Wananchi Tanzania, Meja Joseph Mjema ,wakati akitoa maelezo ya namna ramani zinavyotumika kwa watumiaji wa baharini wakati wa wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani ,yanayoadhimishwa kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendego, akiongea na washiriki
wa maonyesho na wananchi leo mchana
wakati wa ufunguzi wa Maonyesho ya siku ya bahari duniani, yanayoadhimishwa
kitaifa Mkoani Mtwara. Maonyesho hayo yatafanyika kwa siku tatu.
(Habari picha na Kitengo cha
Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...