Moshi mkubwa umetanda katika anga ambapo Kuna taarifa kuwa Eneo la hifadhi ya Mlima Meru Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha linawaka moto. Chanzo cha moto huo, ambao unasemekana ulianza jana, bado hakijafahamika. Tunaendelea kufuatilia taarifa hii na tutawajuza zaidi mara tupatapo habari za uhakika kutoka eneo la tukio.
![]() |
Usiku huu |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...