WAKAZI
wa kisarawe walipata burudani ya aina yake, jumamosi ya juzi tarehe 19
mwezi huu kutoka redio ya 93.7 EFM kupitia kampeni ya muziki mnene.
Burudani hiyo ilianza na mpira wa miguu kati ya EFM na buffalo kisarawe,
ambapo timu ya Buffalo ilitetea ushindi nyumbani kwa kuifunga EFM
magoli mawili huku EFM ikiambulia sifuri.
Baada ya mechi hiyo burudani ya aina yake iliendelea ndani ya Tausi bar, huku Rdj’s na watangazaji wa EFM wakishikilia usukani wa burudani hivo kuwapagawisha wakazi wa kisarawe.
93.7 EFM tutaendelea kutoa burudani hii ya muziki mnene na kuwa fikiawasikilizaji wetu wote, hivo wakae mkao wa kula.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...