Sehemu ya wajumbe wa Mkutano wa Maadhimisho ya Siku
ya Bahari Duniani, uliofanyika Kitaifa mkoani Mtwara,leo mchana, wakisikiliza
mada mbalimbali zinazohusu changamoto na mikakati ya kuboresha mazingira ya
Usafiri wa Majini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Juma Malik Akil, akitoa shukrani zake kwa Ushirikiano unaoonyeshwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika sekta ya Uchukuzi kabla hajamkaribisha Naibu Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano kufungua rasmi Mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani, uliofanyika mkoani Mtwara,leo mchana.
(Habari
Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...