Mtaalam
kutoka Kampuni ya “CPP” (Mkandarasi wa Mradi wa Gesi Asilia) (Kulia) akitoa
maelezo ya usalama kabla ya wakuu wa taasisi za TPDC na TANESCO kuingia katika
kituo cha kupokea gesi asilia Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kituo hicho
tayari kimeanza kupokea gesi asilia kutoka kiwanda cha kuchakata gesi Madimba Mkoani Mtwara.
Mtaalam kutoka Kampuni ya Mhandisi Mshauri Muelekezi (WorleyParsons), Allen Slowe (kulia) akitoa maelezo ya jinsi ya zoezi zima la kupokea gesi asilia linavyoendelea mbele ya Wakuu wa taasisi za TPDC na TANESCO, Kinyerezi, jijini Dar esa Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Dkt. James
Mataragio (kulia) akakizungumza na waandishi wa habari kuhusu kufika kwa gesi
asilia katika kituo cha kupokelea gesi Kinyerezi, jijini Dar es Salaam ikitokea
kiwanda cha kuchakata gesi asilia Madimba, Mkoani Mtwara.
Mitambo
ya kupokelea gesi asilia eneo la Kinyerezi, jijini Dar es Salaam ambayo
imeshaanza kupokea gesi asilia kutoka kiwanda cha kuchakata gesi asilia Madimba
Mkoani Mtwara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...