Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika
Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye
makao yake makuu jijini Kampala Uganda.Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo
Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla
fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaanm leo asubuhi.Sambamba na
Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa
bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za
jamii,na maendeleo makubwa ya kiuchumi katika kipindi cha miaka
kumi
(picha na Freddy Maro)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...