Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Brother Michuzi,
    Sijawahi kuonana na wewe physically ila kupitia blog yetu ya jamii nimependa sana style yako ya utendaji kazi. Ni mtu usiye na makuu wala majivuno, unaacha kazi yako inaongea badala yako.

    Sisi tulio mbali huwezi kujua ni kiasi tunahabarika kupitia blog yetu ya jamii. Najua TZ ziko blog nyingii ila ya kwako ndo blog mama. Mungu akipenda I hope siku moja tutakutana hata Tanzania, japo tunywe kahawa.

    Mungu azidi kukupa nguvu wewe na timu yako nzima, na miaka 10 ijayo I am sure Michuzi TV itakuwa inashindana na kina Azam...

    Mdau,
    Alaska, USA

    ReplyDelete
  2. Mdau Alaska ditto! Michuzi kwa uungwana wake sifikiri kama anajua jinsi alivyo kama link yetu na Bongo. Its like an umbilical cord to the motherland.
    Kisha jamaa avaa FULANAS kutukumbusha twatoka wapi.
    God bless you and your team
    ibrahim

    ReplyDelete
  3. HBD Long life Sir -Msellem Zanzibar

    ReplyDelete
  4. HBD and long life Michuzi-Msellem Zanzibar

    ReplyDelete
  5. MSAADA http://zanzibarutalii.blogspot.com/

    ReplyDelete
  6. http://zanzibarutalii.blogspot.com/

    ReplyDelete
  7. Hongereni nyote wahusika wa Michuzi Blog. Kama alivyonena mdau wa mwanzo hapo juu, kweli mmekuwa mkiikhabarisha jamii kila kukicha, kwa walio karibu na mbali wote wamekuwa wakinufaika na khabari zenu zenye uhakika na matukia mbali mbali, kwa hilio nawapongeza sana. Nawaombea kila la kheri katika kuadhimisha na kuisherehekea miaka hii 10 ya Michuzi Blog. Mola awajaaliye mzidi kufanikiwa na kusonga mbele zaidi khususan katika huu ushindani wa vyombo vingi vya khabari vinavyozidi kuibuka kwa kadri kunavyokucha. Nawapongeza kwa dhati uongozi mzima, waongozaji, watendaji wote na wapenzi wote wa Michuzi Blog ndani na nje ya nchi yetu ya Tanzania. Hongereni sana!

    ReplyDelete
  8. I delayed but I Succeded in republishing this News..Congrats bro, keep up the Good Work cz im working Hard to Beat u 1day..Give me ShoutOut if u can...#togetherwecan

    ReplyDelete
  9. Hongera sana. Endeleeni hivyo hivyo ili wengine wafuate mfano wenu. Blackmpingo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...