Mwenyekiti
wa Basicneed Foundashon Tanzania, Prof. Joseph Mbatia akizungumza juu
ya kula vyakula vyenye lishe bora na kunywa maji ya kutosha kufanya
mazoezi ya viungo angalau mara tatu kwa wiki, (kujali
afya kila siku kujitambua na epuka vitu vinavyoathiri afya yako)
ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo wa Tamasha la mtandao wa wanawake
na katiba na uchumi linaloendelea kufanyika ndani ya TGNP jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti
wa Basicneed Foundashon Tanzania, Prof.Joseph Mbatia akifafanua jambo
wakati wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi
linaloendelea kufanyika ndani ya TGNP jijini Dar es Salaam.
Wananchi
wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Basicneed Foundashon Tanzania,
Prof.Joseph Mbatia akifafanua jambo ikiwa ni siku ya pili ya muendelezo
wa Tamasha la mtandao wa wanawake na katiba na uchumi linaloendelea
kufanyika ndani ya TGNP jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanue Massaka)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
(Picha na Emmanue Massaka)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Kula vyakula bora vyenye lishe zote kutaimarisha afya kuliko bora kula.
ReplyDelete