
Mazishi yanatarajiwa kufanyika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam, siku ya Alhamisi tarehe 3 Septemba, 2015 saa 10.00 jioni.

Baadaye saa 9.00 Ibada ya kuwaaga wapendwa wetu itafanyika Kanisa la KKKT Kijitonyama.
Marehemu MICHAEL NA JOHN JAPHET MBAGA ni kaka wa MARY RUSIMBI, HILLARY MBAGA, ROSE MSHANA (ROZELLA) NA STELLA MBAGA.
"Bwana alitoa, Bwana ametwaa, jina lake na lihimidiwe."
AMINA
AMINA
Poleni sana wafiwa
ReplyDeletePoleni sana wafiwa
ReplyDeleteMUNGU awainue familia na kuwapa subira
ReplyDelete