FAMILIA YA CLEMENCE KATO YA KINYEREZI KIBAGA DAR ES SALAAM INATANGAZA KIFO CHA MAMA YAO MPENDWA CORONA BITUNGWA (MAMA WAWILI) KILICHOTOKEA ALFAJIRI YA LEO TAREHE 30/09/2015 HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI,HABARI ZIWAFIKIE NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI WOTE,MSIBA HUKO NYUMBANI KWA MAREHEMU KINYEREZI KIBAGA, TAARIFA YA TARATIBU ZA MAZISHI ZITATOLEWA BAADAE.
..BWANA AMETOA,BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE….
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...