Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe na Ofisa Uhusiano, Roida Andusamile.
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew, akiwaonesha wanahabari Solar Power panels zinazotakiwa kuwa kwenye soko ambazo ni bora.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Hatua ya kutaarifu umma ni nzuri. Ni vizuri hizo taarifa za solar panel sahihi ziwe wazi kwa wote pamoja na miongozo, sheria au kanuni zake ili tusipate hasara tunaouza na kununua bila kuwa na taarifa sahihi za viwango. Uingizaji bidhaa zisizofaa udhibitiwe ukiingia ili zisiw sokoni.
ReplyDelete