![]() |
Baadhi ya viongozi wa ngazi ya Juu Katika jeshi la Polisi mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika maandalizi ya mazoezi. |
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro.Fulgence Ngonyani akipokea taarifa fupi toka kwa kiongozi wa kikosi cha kutuliza ghasia. |
![]() |
Askari Polisi wa vikosi mbalimbali vya jeshi hilo mkoa wa Kilimanjaro wakiwa katika zoezi maalum. |
![]() |
Baadhi ya viongozi wa jeshi hilo. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...