Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemuhamisha kituo Balozi Peter A. Kallaghe (pichani) aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza
kwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Brazil.
Uhamisho huo unaanzia tarehe 23
Oktoba, 2015.
Imetolewa na:
Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa,
Dar es Salaam
28 Oktoba, 2015
Safi sana JK oyeeeeeeeeeee
ReplyDelete