Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Tanzania Bw. George Shumbusho
(Kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mtendaji
wa kampuni ya STE BPS (COTE DIVOIRE) S.A LTD Bw. Vijayan Vetharethinam kwa
pamoja wakifungua shampeni wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa
na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wake Mkoani Mtwara hivi karibuni.
Mkuu wa Hazina Benki ya Exim Tanzania Bw. George Shumbusho (wa pili kulia) akibadilishana mawazo na Bw. Anoop Kumar pamoja na Bw Prasoon kutoka kampuni ya Regal Holdings Ltd wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wake Mkoani Mtwara hivi karibuni. Wengine ni pamoja na Meneja Masoko Msaidizi wa Benki hiyo Bw. Abdulraham Nkondo (kushoto) na Meneja Msaidizi Mauzo Hazina, Bi Glynis Stambuli (kulia).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...