Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.
Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.
Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...