Home
Unlabelled
BREAKING NYUZZZZZ.....: UCHAGUZI WA ZANZIBAR WAFUTWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Atwambie na sababu za kisayansi, maana uchaguzi unatumie fedha zetu. Hatuna hela nyingi hivyo za kubatilisha uchaguzi eti kwa sababu kuna mtu kaongea nini. Atwambie sababu za kisayansi hasa!!!!!
ReplyDeleteMcheni Mungu (simaanishi salini, namaanisha mpeni haki kila anayestahiki hata kama anakera).
ReplyDeleteIli idumu amani.
ReplyDeleteAmani Amani ndugu zetu visiwani hakuna haja ya jazba wala uvunjifu wa amani. Tume imefikia uamuzi huu kwa mujibu wa sheria. Tungoje taratibu zitakazofuata. Uchaguzi siyo uadui hakuna haja ya kuleta fujo.
ReplyDeleteSasa si mnamdhulumu Shein ambaye hakukosea lolote kwa kufanya naye kura zake zifutwe? Mpeni zake ajuwe.
ReplyDeleteAdhabu gani hii ambayo inawaumiza hata watu ambao hawakukosea?
Ndo haki hiyo? ZEC fikirini.
Hii inatokana na shule za zenj kuwa duni.
mgetwambia hizo data mbaya ni ngapi maana tulishalipia.
ReplyDeleteWaangalizi wa kimataifa walishasema uchaguzi ulikuwa huru na wa haki sasa hiyo nyie mmetoa wapi?
ReplyDeleteNiwieni radhi, lakini naona viashiria vya vurugu na patashika kama moshi wa kifuu vile, Maulana atuongoze kwani naona bakora na marungu yana andaliwa.
ReplyDeleteWe are awaiting for full justification and clear reasons as to why the election was annulled. Elections are expensive but just necessary luxuries
ReplyDeleteMungu atuongoze katika jambo hili.
ReplyDeleteGharama zote zilizotumiwa jamani tuelezeni tatizo ni nini hasa na uchaguzi ukirudiwa halitatokea tena?
Hata nchi zinazoendelea kama kuna ukiukwaji wa taratibu badi kura hurudiwa. Tuwe na subira ili haki itawale.
ReplyDelete