Meneja wa Mahusiano wa MultChoice Tanzania (DSTV),Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa chaneli mpya ya Maisha Magic Bongo inayoanza leo kwa kuonyesha muziki,filam pamoja na mahojiano iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Masoko wa MultChoice Tanzania,Furaha Samari, na kulia ni Mwakakilishi wa MNET Afrika Mashariki,Lisa Venter.
Mwakakilishi wa MNET Afrika Mashariki,Lisa Venter akizungumza na waandishi (hawapo pichani) juu ya uzinduzi wa chaneli mpya ya Maisha Magic Bongo inayoanza leo kwa kuonyesha muziki,filam pamoja na mahojiano iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam,kushoto Meneja wa Mahusiano wa MultChoice Tanzania (DSTV),Barbara Kambogi.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...