Mwandaaji  wa   Bongo Star Search, Rita Paulsen akizungumza na waandishi wa habari( hawapo pichani)  juu ya fainali ya (BSS) itakayofanyika Ijumaa ya Oktoba 9 mwaka huu katika ukumbi wa King Solomoni Hall uliopo karibu na Nyumbani Lounge au Eaters Point  eneo la Namanga  kuanzia saa moja jioni kikao hicho kimefanyika leo Jiji Dar es Salaam kulia ni Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko  wa Huawei  Samson Majwala.
 Baadhi ya Wandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini  Mwandaaji  wa Bongo Star Search Rita Paulsen.
Washiriki wa (BSS) wakiwa katika picha ya pamoja na Mwandaaji  wa   Bongo Star Search Rita Paulsen leo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kila la kheri washiriki wote wa BSS 2015 and special wishes to my favourite contestant (Kayumba Juma), 'fingers crossed'. In Sha Allah.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...