Familia ya Michael na Teddy pamoja na Mngodo wote, tunapenda kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zetu kwenye ibada maalumu ya shukurani, na kusherehekea maisha ya Marehemu Baba yetu Mzee GODFREY MBIU MNGODO, (pichani) itakayofanyika siku ya Jumamosi 10/31/2015 kuanzia saa kumi jioni hadi saa tatu usiku ..
Mahali ni:
35 E.STANTON AVE,
COLUMBUS OH 43214.
Karibuni sana na Mungu awabariki.
Kwa maelezo zaidi na maelekezo
Michael Godfrey Mngodo: 614 446 5565. Teresia Teddy Ngeleja Mngodo: 614 772 1591. Kwetukia Joseph Mngodo: 614 316 5092 Vickie Tungaraza: 614 288 8103
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...