Sehemu ya viwanja vya mpira wa kikapu katika kituo cha kisasa kabisa cha Michezo kwa vijana cha Jakaya Mrisho Kikwete Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam vimekamilika, saambmba na viwanja vya soka na michezo mingine. Kituo hiki cha Vijana cha Michezo mbalimbali kinachodhaminiwa na Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza cha Sunderland kwa kushirikiana na kampuni ya umeme ya Symbion Power kinatarjiwa kuzinduliwa rasmi tarehe 19 Oktoba mwaka huu.
Home
Unlabelled
Kituo cha kisasa cha michezo kwa vijana cha JMK cha Kidongo Chekundu kuzinduliwa Oktoba 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...